Is the best Open Secondary School situated in Tanga Town.It is registered under the Institute of adult Education with Registration number IAE/OS/0752.
MUUNGWANA OPEN SCHOOL TUNAKUHAKIKISHIA HAYA: 1.Mwanafunzi atajua kuongea,kusoma,kuandika pamoja na kusikiliza na kuelewa lugha ya kiingereza kwa ufasaha 2.Mwanafunzi atajengewa msingi imara kwenye masomo ya sayansi kwa kufundishwa kwa vitendo 3.Mwanafunzi ataendelea kujengwa na kulelewa kwakufuata maadili na nidhamu ya hali ya juu HIVYO TUNAKUSIHI NDUGU MZAZI/MLEZI MLETE MWANAO APATE FAIDA HIZI
READ MOREUsajiri kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita kwa mwaka 1 ama 2 unaendelea wahi sasa nafasi chache na ada zetu ni nafuu kabisa tunakuhakikishia kufaulu kwa divishen one au two tupigie
READ MOREMUUNGWANA OPEN SCHOOL TUNAKUHAKIKISHIA KUFAULU 2022 1.ELIMU YA SECONDARI KWA MIAKA 2 (QT) 2.KURUDIA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA 4 NA 6 3.KIDATO CHA 5 NA 6 KWA MWAKA 1 4.KIDATO CHA 3 5.TWISHENI KWA MADARASA YOTE SISI: Tunao walimu mahiri wenye uzoefu wakutosha wa kusaisha mitihani ya taifa Tunatumia mbinusita za kisasa zinazo kuhakikishia […]
READ MOREOFA:Madaftari,Tshirt pamoja na Kalamu BURE kwa atakae lipa ada yote kwa mara moja. KARIBU TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HUDUMA ZETU NA TUTAKUJIBU PUNDE ASANTE
READ MORENajua hadi sasa bado unajiuliza wapi umpeleke mtoto wako alie maliza darasa la saba kwajili ya pre form one.Nakiri kwamba sio rahisi kwa wewe kuchukua maamuzi ya haraka lakini kiukweli hupaswi kuwa na ganzi kwenye hili tena kwa sababu MUUNGWANA OPEN SCHOOL nisuruhisho la uhakika kwako.Sisi tunafanya yafuatayo kwa pre form one ENGLISH COURSE […]
READ MORE© Copyright 2021 Muungwana Open School | All Rights Reserved
Developed and Designed by: MO Prints & Stationeries
WhatsApp us